Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,
Affan Othman (wapili kulia), wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya
Kilimo cha Umwagiliaji wa Mpunga katika Bonde la Mpunga la Bumbwisudi
lililopo eneo la Popo Jimbo la Dole Unguja mjini Zanzibar jana Mei 21
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa mabonde ya Mpunga ya
Bumbwisudi, Kadili Ali ( kulia), wakati alipotembelea kukagua maendeleo
ya Kilimo cha Umwagiliaji wa Mpunga katika Bonde la Mpunga la
Bumbwisudi lililopo eneo la Popo Jimbo la Dole Unguja mjini Zanzibar
jana Mei 21.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM wa Mwera Misufini
baada ya kuweka jiwe la msingi katika jengo la Ofisi ya CCM ya Tawi la
Misufini Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar jana Mei 21.
Baadhi
ya wanachama wa CCM na wananchi wa Mwera Misufini Mkoa wa mjini
Magharibi, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungao wa
Tanzania, Dkt. Moahammed Gharib Bilal, alipofika wilayani hapo jana Mei
21 kwa ajili ya kuweka jiwe la msingi katika Jengo la Ofisi ya CCM Tawi
la Mwera Misufini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM, wakati alipofika
Wilaya ya Magharibi kwa ajili ya kukagua matengenezo ya Ofisi ya CCM ya
wilaya hiyo akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi
Zanzibar jana Mei 21.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiongozana na viongozi wa CCM, wakati alipofika Wilaya ya
Magharibi kwa ajili ya kukagua matengenezo ya Ofisi ya CCM ya wilaya
hiyo akiwa katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi Zanzibar
jana Mei 21. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
0 comments:
Post a Comment