![]() |
| kamati ya uchaguzi ikihesabu kura na mashaidi waliochaguliwa na wadombea |
![]() |
| katibu wa uchaguzi (John mugoya) akitangaza matokeo ya uchaguzi |
![]() |
| wanajumuhiya wakisubiria matokeo kwa hamu. |
Tanzania Students Association of Acharya (TASAA)wafanya uchaguzi jana 17/04/11.
watanzania wanafunzi wasomao acharya institutes,Bangalore,India wamechagua serikali yao kuu ya
wanafunzi leo.
Serikali mpya TASAA (Tanzanian Students Association of Acharya)
RAIS Sira Mohele
M/RAIS Abasi Gulamu
KATIBU Ahamad Rashid
WAZIRI WA FEDHA NA AFYA Danny Mugoya
WAZIRI WA MICHEZO NA UTAMADUNI Ramson Chrispin





3 comments:
TASAA OYEEEEE
nawatakia mafanikio na kuiendeleza tasaa
Mpasuko huu Acharya.
Post a Comment