TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, December 24, 2010

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA (TAIFA STARS )KUINGIA KAMBINI JUMATATU WIKI IJAYO

6:59 PM


Kaimu katibu mkuu wa TFF SUNDAY KAYUNI.

Kikosi cha timu ya TAIFA TAIFA STARS kinatarajia kuingia kambini jumatatu wiki ijayo kujiandaa na mechi ya kimataifa kati ya MISRI na TANZANI mchezo utakaofanyika nchini MISRI

STARS itashuka dimbani kumeyana na timu ya taifa ya MISRI, THE PHAROES January 15 katika michuano maalumu iliyopewa jina la NILE BASIN.

Amesema kutokana na kutokuwepo kwa kocha wa timu ya TAIFA JAN hivyo kikosi hicho kitatangazwa na kocha msaidizi MASHI.

Kocha MASHI atatangazia kikosi hicho akiwa mkoani MWANZA ambako yupo ,hivyo wachezaji wote walioitwa katika kikosi hicho wamepigiwa simu kujiandaa na kambi hiyo kabla ya kwenda nchini MISRI

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA