TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, April 30, 2010

TBL YAIPIGA JEKI TIMU YA MKOA WA KILIMANJARO.

7:53 PM



Kaimu meneja mauzo mikoa ya Kilimanjaro na Tanga, Bw Edmund Rutaraka akiwa ameketi kabla ya kukabidhi Cash kwa viongozi wa timu ya mkoa.

Bw Rutaraka akizungumza kabla ya kukabidhi Cash kwa timu ya mkoa wa Kilimanjaro inayojiandaa na mshindano ya Tiafa Cup.



Fedha zenyewe ni hizi nimekuja nazo taslimu sio Cheque.


Ni shilingi milioni 1.5 hizi hapa mkuu zitaisadia timu yetu.hapa akimkabidhi katibu tawala msadizi huduma na miundo mbinu Bw Hassani Bendeyeko .huku zoezi hilio likishuhudiwa na kaimu mwenyekiti wa chama cha soka mkoa wa Kilimanjaro Darabu M Darabu na katibu wake Benedict Macha.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA