TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Friday, December 11, 2009

Tanzania yaunda baraza la makosa ya jinai

6:43 PM
Tanzania imezindua baraza la taifa litakaloshughulikia masuala ya makosa ya jinai, kwa lengo la kupunguza mlundikano wa kesi kwenye mahakama za nchi hiyo.

Serikali imelitaka baraza hilo kubuni mikakati madhubuti ikiwa ni pamoja na kuwa na ratiba maalum ya kumaliza kesi za jinai ambazo zimechukua muda mrefu mahakamani bila kumalizika.

Mapendekezo mengine yaliyotolewa na serikali katika kukabiliana na tatizo hilo ni pamoja na mahakama za Tanzania kuwatumia mahakimu wa heshima ama mahakimu ambao wamepata ruhusa kusikiliza kesi za mahakama kuu kwa kutumia sheria zilizopo.

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA