Ratiba ya timu 16 zinazocheza ligi ya klabu bingwa barani Ulaya imetolewa hii leo. Michezo ya kwanza itafanyika Februari 16 mwaka 2010.
Ratiba yenyenyewe ni kama ifuatavyo:
Inter Milan Kucheza na Chelsea
Lyon kucheza na Real Madrid
AC Milan kucheza na Manchester United
Olympiakos kucheza na Bordeaux
FC Porto kucheza na Arsenal
CSKA Moscow kucheza na Sevilla
Stuttgart kucheza na Barcelona, na
Bayern Munich kucheza na Fiorentina
0 comments:
Post a Comment