TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Tuesday, December 15, 2009

Matumaini ya kukabiliana na HIV yadidimia

12:46 PM

Dawa maalum ya kupaka ambayo ilikusudiwa kuzuia maambukizi ya ukimwi haijafanikiwa, baada ya majaribio makubwa ya kimataifa kuwahi kufanyika.

Baraza la utafiti wa matibabu nchini Uingereza ambalo liligharamia majaribio hayo katika nchi za Afrika, limeelezea matokeo yake kuwa ya kuvunja moyo baada ya kuwepo na matumaini makubwa na vile vile kuwekeza fedha nyingi katika mradi huo.

Zaidi ya wanawake elfu tisa katika nchi nne za Kusini mwa jangwa la Sahara walishiriki katika majaribio hayo.
Wanawake hao walipewa krimu ya kupaka kwenye sehemu zao za siri iitwayo PRO 2000 ambayo ilitakiwa kupakwa kabla ya kujamiiana.

Barani Afrika zaidi ya asilimia 60 ya walioambukizwa virusi vya HIV na Ukimwi ni wanawake na wengi wao waliambukizwa kutokana na wapenzi wao waasharati.

Majaribio mengine yanaendelea kufanywa lakini Dkt. Sheena McCormack wa baraza la utafiti wa matibabu la Uingereza anasema matokeo "yanavunja moy

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA