Mh_Balozi Mhandisi John Kijazi akifurahia kombe la ushindi ambalo timu ya Ubalozi wa Tanzania India ulishinda kabla hajalikabidhi kwa timu captain. Katika kusherehekea Uhuru wa Tanzania Jumuiya ya wanafunzi wanaosoma India na Ubalozi wa Tanzania nchini humo uliandaa bonanza la michezo nyumbani kwa balozi ambalo lilifana sana. mbio za 'vipofu' zikikaribia kuanza mashindano ya kula maandazi yanayoning'inia
shindano la kuvuta kamba kati ya timu ya
wanafunzi na wafanyakazi wa ubalozi. ngoma ilikuwa droo kukimbia na ndimu balozi akitoa mawili matatu kwa timu ya ubalozi kabla ya gemu
Mh Balozi Mhandisi John Kijazi akiwa Mwenyekiti wa Tasa Bi. Jennifer Sumi (kulia) na Makamu wa Rais Jane Balama wakishuhudia mchezo wa soka. Timu kabambe ya wanafunzi kabla ya gemu umoja na upendo kati ya wanafunzi na wafanyakazi wa ubalozi
0 comments:
Post a Comment