TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Thursday, November 12, 2009

Kilimanjaro Acrobatic Group ilivyotesa Mysore....

1:15 PM



Kaka wanaofanya kazi ya ziada...

Wadada wanaojituma kazini wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Kila mtu kapewa kipaji chake.....hapa vija wakionyesha uwezo wa juu katika sarakasi.

Burudani kutoka kwa viajan wa Kitanzania.

Wasanii wa Kilimanjaro Acrobatic Group wakiwa kazini mjini Mysore...

Vijana 8 wa Kitanzania walifanya maonyesho kadhaa ya sarakasi wakishirikiana na Gemini Circus walionyesha show mbali mbali za sarakasi,vijana hao ambao kwa pamoja waliweza kuonyesha maajabu na uwezo wa juu katika sarakasi...pia kwa pamoja wameshukuru sana Watanzania wenzao wa Mysore kwa kutoa ushirikiano wa bega kwa bega ambao ulichangia kuonyesha ufanisi wa hali ya juu,wakiwa wanatokea Kikundi kijulikanacho kama Kilimanjaro Acrobatic Group, vijana hao nane sasa wameelekea mji wa Mandya kisha watamalizia ziara yao mjini Bangalore...

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA