TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Saturday, November 21, 2009

buster rhymes atua kempisk hotel,anakamua usiku huu fiesta one love

10:26 PM
Wana wa Clouds Tv wakiwa wamepozi na mmoja wa wanamuziki aliokuja nao Buster Rhymes jioni hii kwa ajili ya makamuzi ya tamasha la Fiesta One Love,nje ya hoteli ya Kempisk Kilimanjaro Hotel jijini Dar
Buster Rhymes na crew yake wakiwasili katika hoteli ya Kempisk Kilimanjaro Hotel ambapo wamefikia jioni hii
Mwanamuziki Buster Rhymes akichat na mmoja wa wadau wa muziki
Mtangazaji wa kipindi cha Muvi Leo ndani ya Leo Tena (Clouds FM) na Clouds TV Zamaradi Mketema akiwa amepozi na mmoja wa wanamuziki aliokuja nao Buster Rhymes jiini hii
Pichani kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Clouds Media Group/Prime Time Promotions Ltd Joseph Kusaga akizungumza na mmoja wa wanamuziki aliokuja nao Buster Rhymes jioni hii ambao watakamua vilivyo katika tamasha la fiesta 2009 usiku huu,pichani kati ni Alex

Gari lililomchukua mwanamuziki Buster Rhymes likiwasili katika hoteli ya Kempisk jioni hii

0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA