Ndugu WATANZANIA Tunaelekea kwenye Uchaguzi wa Rais wa TASABA,umefika wakati wa kupata Rais Bora,Mpenda Haki,Mleta Maendeleo na si Fisadi,Mwenye ushirikiano kwa kila Mtanzania .Tafadhali tunaomba Umpigie Kura Ndugu yetu FIDELIS MSOMEKELA katika nafasi ya Urais TASABA.Ushirikiano wako ndio mwanzo wa Uongozi Bora.
Usipoteze Kura Zako..Viongozi wetu niwalewale....
Ndugu wa Tanzania.TASABA oyeee!!!!Watanzania oyeee.Ndugu Mtanzania wa BANGALORE maendeleo huletwa na kiongozi bora na si bora kiongozi kwa hiyo ukitaka maendeleo na Uongozi bora usipoteze kura yako mchague ANGEL TUNGARAZA Kuwa Makamu wa Rais.Kwa pamoja tutaweza............
Mchague kama muweka hazina Bwana WILLIAM G MZIRAY
Kwa Mafanikio na Maendeleo ya TASABA na WATANZANIA wote Kwa Ujumla chagua kiongozi anaeweza kuleta mabadiliko makubwa na yenye maana.Usipoteze kura yako Bure Chagua William G Mziray kama Mtunza hazina wa TASABA.
Hii ni kwa maendeleo ya kila mtanzania.
Hii ni kwa maendeleo ya kila mtanzania.

WILLIAM G MZIRAY
VISIT WWW.BASHMANCREW.COM


0 comments:
Post a Comment