TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, July 27, 2009

Waziri wa usalama wa Iran atimuliwa

4:43 PM
Rais wa Iran bwana Mahmoud Ahmadinejad amemuachisha kazi waziri wake wa ulinzi siku mabayo ilimbidi aghailishe uteuzi wa makamu wa Rais. Sababu ya kumuachisha wadhifa huo waziri huyo

bwana Gholam Hossein Mohseni Ejeie hazijatolewa. Wakati huohuo waziri wa utamaduni amejiuzuru, akisema kuwa serikalini kuna matatizo.

Rais huyo anatarajiwa kuitangaza baraza lake la mawaziri baada ya kula kiapo kwa mara ya pili ndani ya siku 10, baada ya ushindi wake wa utata wa kiti cha urais.

Pamoja na matatizo hayo, ofice ya rais huyo imekanusha taarifa za kufukuzwa kwa mawaziri wengine watatu.





0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA