TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU / ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT CHEAP RATES | CONTACT ME: kilinyepesi@gmail.com

 photo DTB_zps7bd2662d.jpg

 photo fl_zps09337f7a.jpg


Habari Mpya:
Monday, July 27, 2009

Wanadiplomasia wa Marekani waongea na Mashariki ya Kati

4:52 PM

Wanadiplomasia wa Marekani wapo katika mazungumzo huko Mashariki ya Kati ikiwa moja ya mipango ya nchi hiyo kujaribu kurejesha mazungumzo ya kuleta amani katika eneo hilo.

Wanadiplomasia wa Marekani wapo katika mazungumzo huko Mashariki ya Kati ikiwa moja ya mipango ya nchi hiyo kujaribu kurejesha mazungumzo ya kuleta amani katika eneo hilo.

Waziri wa ulinzi wa Marekani bwana Robert Gates amepanga kukutana na waziri wa ulinzi wa Israel bwana Ehud Barak halafu atakutana pia na waziri mkuu wa Israel bwana Benjamin Netanyahu

Mwanadiplomasia wa Marekani bwana George Mitchell aliwasili Egypt akitokea kwenye maongezi Syria na Israel atakutana na rais Hosni Mubarak.

Mazungumzo hayo ya amani ya Israel - Parestina yakiwa yanaendelea na vitisho vinavyotolewa na Iran, navyo vimewekwa kwenye ajenda ya maongezi hayo.

Huko Tel Aviv jumapili, bwana Mitchell aliwahakikishia wawakilishi wa Israel juuu ya msimamo usiotetereka wa serikali ya Washington kuhusu ulinzi wa taifa hilo.


0 comments:

Post a Comment

 
BONYA HAPA